Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo.
Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga.
Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji wakati wa...
Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 UKARABATI WA SHULE
25 Julai 2024
Na Mwandishi Wetu,Moshi
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)mkoani Kilimanjaro limetoa msaada wa mifuko 50 ya simenti yenye thamani ya Tshs. 1,000,000/= kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Sekondari J.K Nyerere...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya Ziara ya Kata kwa Kata huku akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Harungu iliyopo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.
Akiwa katika Kata ya Harungu, Mhe. Juliana Daniel Shonza amekabidhi mifuko ya Saruji 20 yenye...
KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200
Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka.
Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji.
Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni:
(i) kupokea kero za wananchi na...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe.
Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali.
Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara.
Akikabidhi msaada huo...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Majidi Mwanga amekerwa kwa kutelekezwa mradi wa kutengeneza tanki la maji lenye ujazo wa lita milioni moja ambapo saruji ilinunuliwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huo ilihifadhiwa vibaya na hatimaye kukutwa imeganda.
Majidi amefanya ziara ya kutembelea...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo.
Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoa wa Manyara Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko ya Saruji 600 kwaajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ndani ya Kiteto.
✅ Kata ya Kiperesa amekabidhi Mifuko ya Saruji 35
✅ Mifuko ya Saruji 50 Shule ya Msingi Makuta
✅ Kata ya Njoro amekabidhi Mifuko ya Saruji...
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
Akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2023/24, Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amepinga pendekezo la Serikali kuongeza Tsh. 100 kwenye kila Lita ya Dizeli na Petroli kwa maelezo tayari Mafuta yana Kodi 22.
Akifafanua zaidi amesema tayari baadhi ya Kodi zinazotozwa kwenye...
MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA.
Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana Jumamosi Aprili 29, 2023 ametimiza ahadi yake ya kuchangia shughuli za maendeleo kwa kuchangia mifuko...
Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea.
---
Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam
Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI
Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri
Viongozi waomba iwe Shule ya Wasichana na iitwe Ummy Mwalimu Secondary School.
Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.