Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji.
Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni:
(i) kupokea kero za wananchi na...