Habari za majukumu wanajamvi,
Naomba kuuliza kwa mtaji wa laki sita nifuge kuku gani kati ya hao sasso au broiler nalenga kufuga kibiashara n.b banda tayari ninalo na vyombo vya chakula na maji ninavyo pia.napatikana mwanza .
Nawasilisha naomba mawazo yenu wanajamvi natumai nitapata muongozo...
JF salaam 🙏
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.