satelaiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

    Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
  2. C

    Uganda kumshtaki Elon Musk baada ya mabaki ya satelaiti ya SpaceX kuanguka katika vijiji vya magharibi

    Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023. Uchafu huo, ulitokana na kurushwa kwa setilaiti ya SpaceX yenye makao yake nchini Marekani, iliyotawanyika katika wilaya...
  3. I

    Picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    Picha za satelaiti zilizochambuliwa na BBC zinaonyesha uharibifu wa maeneo kadhaa ya kijeshi nchini Iran kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Jumamosi. Ni pamoja na tovuti ambazo wataalam wanasema zilitumika kwa utengenezaji wa makombora na ulinzi wa anga, pamoja na ile...
  4. Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  5. Tanzania yapata nafasi katika Obiti kwaajili ya Matumizi ya Satelaiti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti. Endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda...
  6. Tanzania kujenga satelaiti yake

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa satelite. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa mradi wa minara ya kurusha matangazo ya Televisheni ardhini (DTT) inayomilikiwa na kampuni ya Azam Media Limited...
  7. Satelaiti ya Kenya on air

    Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi...
  8. R

    Hakuna uwezekano wa kutumia satelaiti kudhibiti uhalifu?

    Habari wanajamvi. Hili wazo nimekuwa najiuliza kama Kuna uwezekano wa kutumia satelaiti ( low orbit satellites) ambazo zinaweza kutupa images za kubaini matukio ya uhalifu kutoka angani na kuwabaini wahusika ili kuondokana na haya mambo ya "watu wasiojulikana". Kama tukio limetokea Magali basi...
  9. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti mbili za majaribio

    Disemba 12, China ilirusha kwa mafanikio satelaiti mbili za majaribio, Shiyan-20A na Shiyan-20B, kwa kutumia roketi ya LongMarch 4C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Jiuquan. Satelaiti hizo mbili zitatumika kufanya majaribio ya teknolojia mpya za kusimamia mazingira ya anga ya juu.
  10. KWELI Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

    MADAI Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya...
  11. Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuunda Satelaiti yake

    Serikali imesema inatambua umuhimu wa nchi kuwa na satelaiti na kwamba katika mwaka huu wa fedha imeanza kuandaa utaratibu wa awali utakaowezesha kuunda na kurusha satelaiti yake angani. Aidha, imesema ili kuwezesha kufikia azma hiyo tayari imeunda andiko dhana na kuunda timu ya watalaamu...
  12. URUSI waonya kuwa watazidungua Satelaiti za Elon Mask

    URUSI imepeleka taarifa ya kwamba majeshi na Serikali za Ukraine na Magharibi kuwa wana tumia satellite za kiraia kufanya shughuli za kijeshi. Wameona jambo hilo liangaliwe na kushughulikiwa vinginevyo wataanza “KUZISHUSHA” (Quasi-civilian infrastructure may be considered a legitimate target...
  13. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E"

    Septemba 13, saa 3:18 usiku, China ilifanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E" angani kwa kutumia roketi ya Long March 7 kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Wenchang. Satelaiti hiyo hutumiwa zaidi kuwapa watumiaji huduma bora za simu, data, redio na televisheni.
  14. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani

    China imefanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani saa tano na dakika nane jana asubuhi kwa saa za Beijing. Satelaiti hiyo itatumika kusimamia kiwango cha kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani, kusimamia na kutathimini miradi ya taifa ya ikolojia, na...
  15. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti za Siwei 03/04

    China imefanikiwa kurusha satelaiti mbili za Siwei 03/04 kwa kutumia roketi ya Long March 2C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Taiyuan. Satelaiti zote mbili zimeingia kwenye obiti iliyopangwa. Setilaiti hizo mbili zitatumika kwenye maeneo ya uchunguzi wa ardhi, upimaji wa...
  16. M

    Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

    Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023 Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria. Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula...
  17. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

    Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan. Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia...
  18. Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G. Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele duniani kuboresha kasi ya upatikanaji wa mtandao wa intanet, hii ikiwa ni mara ya pili kurusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…