sativa apatikana katavi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Waziri wa Mambo ya Ndani: Tukio la anayesemekana alitekwa (SATIVA) uchunguzi unaendelea

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa mbalimbali wa sakata la utekaji ambalo limekuwa likizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari katika siku za hivi karibuni huku likiacha taharuki kwa wananchi huku pia suala la kuteswa likitajwa...
  2. Gemini AI

    Pre GE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
  3. Bams

    Suala la Sativa Watanzania wema tuungane kuokoa maisha yake

    Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Sativa kupitia mtandao wa X amekuwa mkosoaji mkubwa wa watawala. Mashetani, kama ilivyokuwa kwa Lisu, wakaona kumwua Sativa ndiyo suluhisho la wao kutokuendelea kukosolewa wanapofanya uovo wao. Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Mungu kwa namna ya ajabu akamweka hai mpaka...
  4. Cute Wife

     Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote kutoka kwa Muliro, IGP Wambura wala Waziri Masauni juu ya utekwaji wa Sativa, kuna nini?

    Wakuu salam, Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi. Edga Mwakabela (Sativa) Tulitegemea kuwe na uwajibikaji kutoka kwenye vyombo vya usalama kwa Muliro, IGP na hata Waziri wa Mambo...
  5. Mpigania uhuru wa pili

    Kwanini Arusha na kuna nini?

    Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko? Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina uhakika ukienda mtaani ukiuliza wananchi hakuna anayemjua hata mimi ndio nimemjua jana! Kama...
  6. radika

    ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi

    Si mara moja polisi kuhusishwa na matukio ya upotevu wa watu wanaowakamata pale wanapoondoka nao na kutoweka kwenye mazingira ya utata au kupotea moja kwa moja. Kwa yaliyotokea kwa ndugu yatu Sativa (Edgar) ni muendelezo wa hatari iliyopo pindi ndugu zetu wanapokuwa katika mikono ya polisi...
  7. Wiston Mogha

    Zitto Kabwe: IGP unawezaje kukubali kituo cha polisi kutumika na genge la watekaji?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha...
  8. DR Mambo Jambo

    SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

    Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay. Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya...
  9. Wiston Mogha

    ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela

    Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni (X) anajulikana Sativa. Mwakabela amepatikana leo tarehe 27 Juni, 2024 huko Mkoani Katavi akiwa...
  10. Cute Wife

    Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?

    Wakuu, Naamini wote tumeshapata taarifa juu ya tukio la kijana Sativa kupatikana, ambapo alitekwa na watu wasiliojukana na kupatikana leo katika hifadhi ya Katavi. Edga Sativa (Sativa) Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na...
  11. Cute Wife

    Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

    Wakuu Salama, Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio. Edga Mwakabela (Sativa) Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye...
Back
Top Bottom