Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro, hivi karibuni akiwa anazungumza na Chief Odemba kwenye tukio maalum lililoandaliwa na TLS amezungumzia kwa uchache kuhusu sakata la kutekwa kwa Sativa.
Soma pia: Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata...
1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni.
3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura
4. Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Juma
5. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Nkunda
6...
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua.
Amesema ujumbe huu utumike kama rejea rasmi ya kuwashtaki polisi hata ikitokea siku moja hayupo Duniani.
Stori ya...
Sativa ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X;
"Hii ndio hali yangu ya Sasa.
"Madaktari wanaweza kunielewa. Hizi nyaya na Lastiki nimefungwa mdomo mzima.
"Hii ni kama "HOGO" ambapo ukivunjika kwenye mfupa linafungwa kwa nje kuzuia movement za eneo husika.
"Hizi nyaya zinafungwa na Lastiki...
1. Sijamsikia akisema lolote kuhusiana na kijana kutekwa, kupigwa risasi, na kutupwa Katavi National Park. Labda hajasikia au imekumbusha machungu ambayo hajapata nguvu ya kuzungumza hadi akae sawa. Nilitegemea kusikia akiongelea hili kwa sababu, ni kweli yeye alipigwa risasi ghafla na alihisi...
Baada ya kuibuka Sakata la SATIVA (ambaye huko X anakwenda kwa @Sativa255), nimejikuta napata hamu ya kumjua zaidi muhusika na harakati zake, kikubwa nilichokiona baada ya kutembelea profile yake ya X ni kwamba, Pamoja na posts zake chache kuwa za kisiasa, zisizo na impact ya kuvutia macho ya...
Tanzania ipo katika giza nene la kiutawala. Tatizo kubwa ni Serikali na watawala.
Watanzania tunalalamikia katiba mbaya, lakini ukweli ulio wazi, hata hiyo katiba yenye kasoro nyingi, haifuatwi wala kuheshimiwa na watawala na vyombo vya dola.
Katiba na sheria zetu zinaeleza na kutoa muongozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.