Sativa ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X;
"Hii ndio hali yangu ya Sasa.
"Madaktari wanaweza kunielewa. Hizi nyaya na Lastiki nimefungwa mdomo mzima.
"Hii ni kama "HOGO" ambapo ukivunjika kwenye mfupa linafungwa kwa nje kuzuia movement za eneo husika.
"Hizi nyaya zinafungwa na Lastiki...
Wakuu, mnamuelewa kweli Masauni?
Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja kutuambia Sativa anaongea kwenye mitandao ya kijamii! Masauni anajielewa kweli?
Huyu naye ni mwingine wa...
jeshi la polisi
mahojiano na sativapolisisativasativa apatikana
sativa hatoi ushirikianosativaushirikianopolisi
ukatili wa polisi
watu wasiyojulikana
waziri masauni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.