sativa ushirikiano polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sativa: Naendelea na matibabu siwezi hata kufungua mdomo, yakimalizika nitatoa ushirikiano wanaotaka

    Sativa ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X; "Hii ndio hali yangu ya Sasa. "Madaktari wanaweza kunielewa. Hizi nyaya na Lastiki nimefungwa mdomo mzima. "Hii ni kama "HOGO" ambapo ukivunjika kwenye mfupa linafungwa kwa nje kuzuia movement za eneo husika. "Hizi nyaya zinafungwa na Lastiki...
  2. Pre GE2025 Masauni: Sativa hatoi ushirikiano wa kutosha kwa Jeshi la Polisi

    Wakuu, mnamuelewa kweli Masauni? Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja kutuambia Sativa anaongea kwenye mitandao ya kijamii! Masauni anajielewa kweli? Huyu naye ni mwingine wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…