Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo
Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn. Sayari ya Mars itaonekana mashariki wakati Jua linazama.
Unaweza kuona sayari za Venus, Mars na Jupiter...
Saturn Resources has capitalised on African gold miners trading at a discount.
Saturn Resources has agreed to buy Shanta Gold, a mining company registered in Guernsey with a focus on East African operations, for £141.95m ($180.7m).
Shanta’s shares were bought at a 6.7% premium above their...
Inakuwaje wanajamvi?
Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida.
Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare.
Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati...
Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka duniani.
Tukio hili linalotokea mara moja katika muda wa uhai wa mwanadamu linafanya sayari hizo mbili...
Angalia mandhari ya kuvutia sana angani 16 na 17 Desemba, mara baada ya magharibi karibu na upeo wa magharibi: Mwezi hilali jirani kabisa na jozi la Mshtarii na Zohali.
Watch the attractive sight 16 and 17 December of the crescent Moon close to the Jupiter-Saturn pair in the western sky soon...
Katika solar system yetu, Planet Saturn ndio the most developed planet kuliko planet nyingine yoyote ile kuanzia miundo mbinu, science and technology.
Dunia inaongozwa kutoka Sayari hii. Viongozi wakuu WA dunia hii wanapata maarifa ya namna ya kuongoza na kuitawala dunia kutoka Planet Saturn...
Mission to Saturn
Mwaka 1997 Nchi za Mrekani, Itali na umoja wa ulaya zilianzisha mission ya kwenda kufanya utafiti kwenye sayari ya Zohali (Saturn). Misheni hiyo ilijulikana kwa jina la Cassini.
Misheni hiyo ilichukua miaka 19 na siku 335. Yaani kwamba siku ya 335 ya mwaka 20 ndipo chombo...
MANDHARI YA KUVUTIA ANGANI - MWEZI BAINA YA SAYARI
(For English version see below)
Kuanzia 29 Oktoba hadi 02 Novemba baada ya Mwezi kutoka kwenye giza ya mwandamo siku ya 28 Oktoba.
Kati ya 29 Oktoba na 02 Novemba, Mwezi utauona unasogea angani ukiangalia upande wa magharibi mara baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.