sauti

Sauti Sol are a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi, Kenya by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a cappella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves Sauti.Sauti Sol released their debut studio album Mwanzo on 1 November 2008, to critical acclaim. Their second studio album, Sol Filosofia, was released on 25 February 2011, earning the group a number of accolades and nominations in the process. On 18 June 2012, the band released a self-titled extended play in collaboration with South African rapper and record producer Spoek Mathambo. Their third studio album, Live and Die in Afrika, was released online on 21 November 2015 as a free download, available for 48 hours as an early Christmas present.The band has had several successful tours in Africa and Europe, topped Kenyan charts and gained international attention with shows in Europe and the US, as well as television appearances and various accolades and nominations, including their 2011 concert performance in Kenya with South African a cappella group Ladysmith Black Mambazo. The band has also received both local and international accolades and nominations, including at the Kisima Music Awards, the Channel O Music Video Awards, the MTV Europe Music Awards, and the BET Awards.

View More On Wikipedia.org
  1. Sauti ya Umma

    Katbu mkuu wa chama cha Sauti ya umma (SAU) ndugu Kyara awasha moto

  2. Teknolojia ni Yetu sote

    Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti

    Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe Roboti pamoja na sauti kwa ujumla. Roboti huyo ataweza kuwa na hati miliki kamili kuanzia sura na...
  3. Moaz

    UTAMBULISHO WA JUKWAA LA SAUTI YA MPIRA TANZANIA(SAMTA)

    Ndugu Wadau wa Soka Tanzania, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika mchakato muhimu kuhusu maendeleo ya mpira wa miguu nchini Tanzania kupitia mradi wa SAMTA (Sauti ya Mpira Tanzania). UTAMBULISHO WA SAMTA SAMTA ni jukwaa linalokusudia kuwakutanisha wadau wote wa mpira wa miguu nchini...
  4. Dogoli kinyamkela

    Kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu

    kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu. ✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine. ✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako...
  5. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

    Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.
  6. F

    Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  7. pantheraleo

    Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Je, hii ni sauti ya Rais wa Mioyo ya Watanzania?

    Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
  9. Paspii0

    "Vox populi, vox Dei (Sauti ya watu ni sauti ya Mungu)

    👉🏾Katika nadharia isiyoelezeka kisayansi napendelea kusema mapenzi au maoni ya watu wengi yana uzito mkubwa, na yanaweza kuonekana kama ishara ya mapenzi ya Mungu. Katika mitazamo ya kidini,ikiwemo Ukristo na Uislamu, kuna mafundisho yanayosema kwamba Mungu ndiye chanzo cha mamlaka yote...
  10. Doto12

    Eti kila akifungua beer anasikia sauti ya mwalimu mkuu

    Milevi bana.. Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated. https://www.jamiiforums.com/threads/haki-itendeke-kesi-ya-mwalimu-wa-shule-ya-kingdom-heritage-banana-dar-kutuhumiwa-kumbaka-mwanafunzi-wa-darasa-la-saba.2277312/...
  11. I

    Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

    Habarini wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
  12. Damaso

    TBC: Sauti ya Watanzania, sio sauti ya Serikali

    Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha. Katika enzi ya habari zinazoenezwa kwa kasi kubwa, TBC inapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuripoti matukio muhimu yanayoikumba...
  13. K

    Nimeota mzee wa ' jalalani' akiwa Makamu wa Chama fulani baadae nikasikia sauti za be 'ndiye' ndoto ikakata

    Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
  14. Lanlady

    Ni sahihi kuomba maombi yako ya kawaida kwa sauti kubwa?

    Kwa nijuavyo kuna aina tofauti za maombi. Maombi binafsi yanayohusu haja zako binafsi. Kuna maombi ya jumla kuombea watu wengine mfano uponyaji na kuna maombi ya vita kama vile kukemea hali fulani. Swali langu kwa waombaji, je ni sahihi kutumia kipaza sauti wakati wa kuomba maombi binafsi?
  15. Big L

    Matumizi sahihi ya vipaza sauti ( microphones)

    Habari zenu wanajamvi, Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili. Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali na sehemu nyingine nyingi tumekuwa tukitumia vipaza sauti tena kwa kupokezana yaani unakuta kipaza...
  16. A

    KERO Chuo Cha Uhasibu Arusha hakijatoa matokea ya utafiti, majina ya wanaotakiwa kuhitimu na mahafali ni Desemba 13, 2024

    Tusaidieni kupaza sauti kwa wahitimu wa Masters chuo Cha Uhasibu Arusha IAA, graduation ni Ijumaa ya tr 13 December , mpaka sasa matokeo ya utafiti hayajatolewa , majina ya wanaotakiwa kuhitimu hayajatolewa. Yaan hamna kitu kinachoeleweka na wahusika wapo Kimya hawasemi shida Nini Nini
  17. Mhaya

    Je umewai kusikia Sauti (Mlio) wa Twiga?

    Wengi wetu hatuna ufahamu kuhusu kama Twiga anatoa Sauti au lah na hii ni kutokana na kuwa Twiga ni mnyama anayejulikana kwa kuwa kimya sana, lakini anaweza kutoa sauti chache zisizojulikana sana kwa wengi. Kwa ujumla, twiga huwasiliana kwa kutumia sauti za chini sana (infrasound) ambazo...
  18. Dogoli kinyamkela

    Sauti ya wahenga inasema

    Sauti ya wahenga inasema ni bahati nzuri kutofagia nyumba ya zamani kabla ya kuondoka kuhamia nyumba mpya,kwani ukifanya ivyo yale mabalaa unayo pitia nyumba ya zamani unayaamishia nyumba mpya. Pia usihame katika Nyumba nyingine na ufagio wa zamani,hii unaamishia nuksi na matatizo Kwenye...
  19. doctor mwanafunzi

    KERO Vipaza Sauti vya Karume vimekuwa kero kwa kelele, Serikali ichukue hatua

    Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa sababu vimekuwa vingi sana katika eneo moja. Ni heri waandike bei elekezi kwenye mabango madogo...
  20. R

    LGE2024 Viongozi wa dini msichoke kukemea haya ya uchaguzi, semeni kwa sauti kubwa mpaka Mkuu wa nchi asikie

    Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki. sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa. Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
Back
Top Bottom