Tunakubali Simba tuko kifungoni ila Azam TV watakuwa wazalendo sana wakiweka sauti bandia za mashabiki ili kunogesha matangazo yao ya mechi hiyo.
Wenzetu huko walikoendelea ndiyo wanafanyaga pale mechi zinapochezwa bila mashabiki.
Magoli ya Ateba na Mpanzu (2) ya siku hiyo yanastahili kelele...