Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha.
Katika enzi ya habari zinazoenezwa kwa kasi kubwa, TBC inapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuripoti matukio muhimu yanayoikumba...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.
Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Huu ni wito wa tahadhali kabla ya hatari. Beberu akiuita "security alert."
Hali ya hewa imebadika, matumaini ya watanzania yaliyokuwa yamefifia mno, hatimaye ghafla yamefufuka.
Mungu atupe nini Ya-Rabi sisi?
Zama zile zilizokuwa zimepotea, ghafla zimerejea. Tena si kitoto, bali kwa...
Ushauri tu; Gandhi alivaa shuka sio sababu alikuwa hana pesa za Mavazi mengine na ingawa ilimfanya a-connect na masses (kuwa mmoja wao) bali huenda hii ilikuwa ishara ya Mgomo.... (Mgomo dhidi ya Viwanda vya Nguo vya Mkoloni); na impact yake ilikuwa ni kubwa na mpaka leo lile shuka limekuwa kama...
Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Utangulizi
Political propaganda ni taaluma kama taaluma zingine. Inapofanyika kwa umakini huleta matokeo. Lakini inapofanyika unprofessionally kama UWT wanavyofanya hapa kwa kuwatumia hawa wanaoitwa Sauti ya Watanzania kama nitakavyoonesha hapa, inamharibia kabisa badala kumjenga anayefanyiwa...
Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA...
Jana Jumapili ya tarehe 23/07/2023, CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA, walikuwa na mkutano mkubwa sana juu ya kupinga uuzwaji/ubinafsishaji wa Bandari za Tanzania.
Mimi kama mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo, nilifurahia sana jinsi mkutano ulivyoratibiwa kwa umakini wa hali ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.