Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa.
Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie...