Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time),
bigie na 2pac walikuwa hot lakini nadiriki kusema vifo vyao vilikuwa vikubwa mno kuliko...