Leo nimekutana na hii makala mtandaoni, imenishtua na kunishangaza sana.
Mwanaume mmoja huko india ameamua kuacha kazi yake katika taasisi kubwa sana ya goldman sachs yenye mshahara mzuri, na kuwa baba wa nyumbani, ili ampe mke wake urahisi wa kupanda cheo kazini.
Anadai kwamba wanawake wengi...