sauti

Sauti Sol are a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi, Kenya by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a cappella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves Sauti.Sauti Sol released their debut studio album Mwanzo on 1 November 2008, to critical acclaim. Their second studio album, Sol Filosofia, was released on 25 February 2011, earning the group a number of accolades and nominations in the process. On 18 June 2012, the band released a self-titled extended play in collaboration with South African rapper and record producer Spoek Mathambo. Their third studio album, Live and Die in Afrika, was released online on 21 November 2015 as a free download, available for 48 hours as an early Christmas present.The band has had several successful tours in Africa and Europe, topped Kenyan charts and gained international attention with shows in Europe and the US, as well as television appearances and various accolades and nominations, including their 2011 concert performance in Kenya with South African a cappella group Ladysmith Black Mambazo. The band has also received both local and international accolades and nominations, including at the Kisima Music Awards, the Channel O Music Video Awards, the MTV Europe Music Awards, and the BET Awards.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Tumnong'oneze Rais kwa Sauti ya Chini Watu Wabaya Wasisikie

    Tumnong'oneze rais kwa sauti ya chini watu wabaya wasisikie.. Ama tuendelee kuwa shamba darasa ama turudie zama za shamba la bibi. 💫💫💫💫💫 ©️ Mwl. Makungu m.s 0743781910 Ilikuwa ni lazima Yesu ashitakiwe ili herode na pontio pilato wapatane na kumaliza uadui wao.( Luka 23:12)...
  2. L

    SoC03 Sauti kutoka ng'ambo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kukua kiuchumi duniani na afrika kwa ujumla.Aidha nchi mbalimbali kama vile Nigeria,Afrika kusini,Ethiopia na Kenya ni nchi zenye uchumi mkubwa kusini mwa jangwa la sahara hii ni kutokana na miundombinu bora waliyonayo.tuchunguze baadhi ya miundombinu...
  3. Naibu Waziri Khamis Chillo - Wanachama wa SADC ni Vyema kuwa na Sauti ya Pamoja

    NAIBU WAZIRI KHAMIS CHILLO AHIMIZA WANACHAMA WA SADC KUWA NA SAUTI YA PAMOJA Tanzania imezihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushirikiana katika utekelezaji wa Mkataba wa Biashara ya Kimataifa wa Wanyama na Mimea iliyo hatarini kutoweka (CITES) ili...
  4. B

    Ajali zimekuwa nyingi, abiria paza sauti

    Je wajua vyanzo vya AJALI barabarani? Abiria kuwa kimya bila kukemea au kutoa taarifa polisi dhidi ya makosa yafuatayo: 1: Dereva kuyapita magari ya mbele bila TAHADHARI. 2: Dereva kuendesha gari akiwa amelewa pombe au dawa za kulevya. 3: Dereva kuendesha chombo kwa mwendokasi. 4: Dereva...
  5. SoC03 Unyenyekevu Sio Utumwa, Unyenyekevu ni Busara katika Uongozi; Msidharau Sauti za Watu, Msidharau Vilio vya Watu, Wasikilizeni

    UNYENYEKEVU SIO UTUMWA, UNYENYEKEVU NI BUSARA KATIKA UONGOZI; MSIZARAU SAUTI ZA WATU, MSIZARAU VILIO VYA WATU, WASIKILIZENI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Katika makala hii tutaangazia kauli ya ndugu G. Lema (2023 Jun 19), ambaye alisema "Unyenyekevu sio utumwa, unyenyekevu ni busara katika...
  6. Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  7. NEMC na JMAT wawaelewesha Viongozi wa Dini juu ya Sauti zilizozidi. Waziri Mkuu Majaliwa atoa Maagizo 8

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa kwa viongozi wa Dini na Kimila juu ya Athari za Sauti zilizozidi Viwango Katika Nyumba za Ibada...
  8. Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

    Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi. Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi? Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi...
  9. B

    Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

    Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
  10. SoC03 Kiini cha utawala bora ni kuhakikisha kwamba wananchi wana sauti katika maamuzi yanayowaathiri katika maisha yao ya kila siku

    Imeandikwa na: Mwl.RCT Utawala bora ni mchakato muhimu katika kusimamia na kuongoza jamii kwa njia inayoheshimu na kuzingatia haki na maslahi ya watu wote. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, utawala bora bado ni changamoto kubwa. Kuna ukosefu wa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa...
  11. S

    Bandari inauzwa kwa waarabu, Gesi LNG inauzwa kwa uingereza, Mbowe, Lissu, Zitto mko wapi kupaza sauti?

    Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu...
  12. Shafih Dauda: Wanaovujisha sauti ya Interview ya Feitoto CMG na kutulaumu hawana Akili

    "Ukienda kufanya Interview yoyote ile katika Redio tena katika Kipindi ambacho ni cha muda mchache (kama cha Saa Moja) huwa kunakuwa na Briefing juu ya kile ambacho Mgeni anaenda Kukisema Hewani. Hiyo Sauti inayotumika na kudaiwa imevuja haikuwa ni Mazungumzo Official baina ya Mchezaji na...
  13. N

    Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua? Hivi huyu hana management? Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
  14. Wanawake, sauti zetu zipo juu sana tunapogombezana na Wenzetu

    Ninaposema wenzetu Imean waume zetu, wachumba zetu au wapenzi wetu. Hatujui kujishusha na hatuwezi kuongea Kwa sauti ya chini, tunashindana. Sasa hizo kelele, yaani hizo kelele ndo zawapa wazimu hawa wanaume. Ndo utashangaa kofi au ngumi ya mdomo, meno chali au ya pua wese hiloo! Twende...
  15. Kipaza sauti ni kitu gani?

    Eti wakuu kipaza sauti ni nini? Hivi vinaitwaje kwa kiswahili? Kipi ni kipaza sauti?
  16. M

    SoC03 Wanaimba kwa sauti ya BWANA BWANA ila midundo ni ya shetani

    Mbinu za Kuwavuta Watu kwa Shetani kwa Kutumia Nyimbo za Kidini Zenye Midundo ya Shetani Utangulizi: Katika ulimwengu wetu wa kisasa, kumekuwa na kuibuka kwa kundi la watu wanaotumia mbinu mbalimbali za kuvuta wengine kwa shetani, huku wakitumia nyimbo za kidini zenye midundo ya shetani. Ingawa...
  17. Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

    Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka 20. Kwa mujibu wa taarifa, Kundi hilo litatengana rasmi baada ya kumaliza ziara yao Desemba 16...
  18. Sauti ya mluzi kifuani wakati wa kupumua

    Kusikilizwa kwa sauti za kifua (Chest auscultation) hutumika kubainisha sauti za pumzi na milio ya sauti ya upumuaji. Sauti za kawaida za kupumua huitwa 'vesicular', hufafanuliwa kuwa tulivu kama sauti ya upepo unaovuma kupitia majani ya mti. Katika hali mbaya, kifua kinaweza kutoa sauti ya...
  19. NEMC, Kelele za Bodaboda zina sauti kubwa kuliko hata Baa

    NEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio. Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
  20. F

    Nawaza kwa sauti ikiwa huu ndio mkakati wa UPINZANI" Kumnanga Magufuli halafu 2025 kumtumia kwenye kampeni"

    Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM wanavyomchukulia Hayati Magufuli. Kama ndivyo basi CCM. Machoni mwa wengi sana Hayati Magufuli ni shujaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…