Nimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana.
Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni wanaruhusiwa kuchapwa namna hiyo? Hakuna adhabu nyingine kwani ya kuwafanya wasirudie kosa?
Nawasilisha.
Cc...