Moja ya vitu nitavyoendelea kumlaumu Hayati Magufuli ni kufanya bunge kuwa la chama kimoja, kuna suala la bandari kubinafisishwa naona wabunge wanashangilia tu, unabinafisha Kwa miaka 100?
Maana yake mpaka wajukuu zetu wanaukuta huo upuuzi, ifike sehemu mambo ambayo siyo ya Muungano asipewe mtu...