SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria.
Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la.
Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli.
1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema.
2. Sms za...
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi?
Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted.
Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we...
Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia!
Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu.
Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye wakafunga ndoa mwaka 2019 mwenzi wa 3, na mkewe alimpata na kuwa mchumba wake baada ya kuachana na...
Kuna binti mmoja hapa kijijini kwetu nilivutiwa nae, ila kukutana nae kumwomba namba ikawa ngumu sababu ya mazingira, tulikuwa tunafahamiana kwa sura.
Kwa vile ndugu yake yule binti ni rafiki yangu nikamwomba rafiki yangu namba ya yule binti, kwanza jamaa akanionya kuwa atakutukana, achana...
Ukipiga asubuhi, ukaunganisha mabao mawili tayari unakuwa umeua watu wawili.
Ukipiga mchana moja, na usiku Raunds tatu, tayari ndani ya siku moja unakuwa umeua watoto sita.
Fanya idadi hiyo mara wiki, vipi ukipiga mwezi mzima utakuwa umeua wangapi?
Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi,
Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
Habari zenu Wana Jamii forums
Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China?
https://www.ippmedia.com/en
Huko CWT hali siyo shwari. Ni juzi tu mdau mmoja kaleta Uzi juu ya manyanyaso ya vyama vya wafanyakazi Tanzania hasa CWT (Chama Cha Walimu Tanzania). Wadau wengi tulichangia sn hapa. Sasa kumbe ni km tulitia petrol kwenye moto. Leo naamka nakutana na gazeti la NIPASHE likiwa na habari ya Walimu...
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni...
Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
Jamii mapishi,
Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa.
Je, kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
Habari wakuu,
Kwa muda sasa hawa sekretariet ya utumishi wa umma imekuwa ikiendeshwa kwa makosa mengi sana ambayo baadhi yamekuwa yakilalamikiwa na hata kuzungumziwa katika vyombo vya uwakilishi na wala hatukuona hatua zikichukuliwa zaidi ya majibu ya "tutalifanyia kazi"
Kati ya hayo naomba...
Yaani umepaki gari mtaan ukaenda tu kwenye fremu za maduka kununua bidhaa ukirudi
unakutana na risit ya kulipa ushuru wa maegesho. Ushuru wenyewe wanaenda kugawana psho huko Hazina na Halmashauri kisha CAG anakuta madudu matupu. Hii si sawa
"Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi"
"Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...