sayansi na teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huko Zimbabwe kuna kijana amegundua gari lisilotumia umeme, mafuta au nishati yoyote kutoka nje. Inawezekana vipi?

    Katika ulimwengu unaotegemea teknolojia na sayansi thabiti, madai yanayopinga kanuni za msingi huvutia hisia kali, aidha za matumaini au wasiwasi. Maxwell Chikumbutso, raia wa Zimbabwe, anadai kuvumbua gari linalojiendesha kwa kutumia mawimbi ya redio na sauti, madai yanayopingana na ufahamu wa...
  2. ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  3. Elon Musk anataka majaribio ya Starship yafikie 25, mwaka 2025

    Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
  4. Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

    Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana. Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
  5. Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

    Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania. Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi. Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
  6. Jinsi Teknolojia inavyobadilisha namna tunavyotafuta kazi

    Zamani kidogo, ilikuwa lazima uchape CV yako vizuri, ununue bahasha zile safi, na utembee hadi ofisi moja baada ya nyingine ukizigawa. Siku hizi, hiyo ni hadithi ya kale! Teknolojia imegeuza kila kitu kuhusu jinsi tunavyotafuta kazi, na kama hujabadili jinsi unavyosaka fursa, kuna uwezekano...
  7. Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu ili kukuza ufaulu

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo: 1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza sayansi huwasaidia wanafunzi kuelewa masuala muhimu kama afya, mazingira, na maendeleo ya jamii. Hii...
  8. SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
  9. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Safari ya mageuzi ya kiuchumi kupitia sayansi na teknolojia

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye uchumi wa kati. Ambapo sekta ya kilimo inachangia 26%-30% ya Pato la taifa. 60%-70% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo. Tanzania imebarikiwa kuwa na idadi kubwa ya watu, idadi kubwa ikiwa ni vijana ambayo ndiyo nguvu kazi ya taifa. Pia...
  10. SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  11. H

    SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  12. SoC04 Uundwaji wa Wizara muhimu ya Sayansi na Teknolojia Tanzania

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye ndoto kubwa za kufikia maendeleo kupitia teknolojia. Ndoto hizi zinaweza kutimia endapo tutawekeza kikamilifu katika sayansi na teknolojia. Watanzania wengi wanaamini kwamba ili taifa lifikie maendeleo endelevu, ni lazima liwekeze katika sekta hizi mbili muhimu...
  13. B

    SoC04 Mwanamke awezeshwe katika sayansi na teknolojia ili kuondoa unyanyasaji wa kijinsia na kukuza ustawi wa jamii, na taifa kwa ujumla

    Sayansi na teknolojia kwa mwanamke zina umuhimu mkubwa hasa kumpa fursa ya kujitegemea, kuwa na ushawishi katika jamii na kujenga mustakabadhi bora. Pia sayansi na teknolojia inaweza kuondoa unyanyasaji wa kijinsia. Kwa Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 , ihakikishe mwanamke anashiri vyema...
  14. Wajue: Baadhi ya wanawake waliosaidia katika ukuaji wa sayansi na Teknolojia.

    1. Katherine Johnson (1918-2020) Picha Credit: Alex Wong /Getty Images Katherine Johnson alikuwa mwanamke mwanahisabati na mmoja wa wanawake wa kwanza wenye asili ya African-American kufanya kazi kama mwanasayansi chini ya kampuni ya NASA. Kama mwanahisabati, alifanikisha kukokotoa na...
  15. M

    SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  16. M

    SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira ya Baadaye katika Sayansi na Teknolojia

    Tanzania iko kwenye kilele cha safari ya mageuzi ambayo inaweza kufafanua mustakabali wake kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sayansi na teknolojia. Dira ya "Tanzania Tunayoitaka" inajumuisha mapinduzi ya kielimu, vituo vya ubunifu vya makuzi, na mifumo thabiti ya sera ambayo itaingiza taifa...
  17. T

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  18. SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  19. Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1. Math, Physics And Chinese 2. Physics, Chemistry and Russian or...
  20. Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…