Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.
Source: science.nasa.gov
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the greatest,lakini mapungufu yao yapo na yanajadilika sana na yanafahamika sana,lakini leo 2024...
Unaweza ukajiuliza sasa maswali mengi kwanini Jua linashindwa kuifikia sayari hii kwa wingi katika nyakati hizi tulizo nazo na nyakati zilizopita kidogo
Ni wazi ili Mars iweze kuwa habitable tena ni lazima kuwepo na joto kubwa la mithiri ya hapa duniani ili liweze kutoa msaada wa mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.