Huwa naingia majukwaa mbalimbali yanayotangaza ajira nadhani mara nyingi huwa naona kama changa la macho hakuna ukweli wowote juu ya uwepo wa ajira zilizotangazwa. Ikitokea kama kweli zipo basi kuna watu wameshapata hizo nafasi, na sie wengine tunaona machapisho tu mtandaoni lakini wenye kazi...