Hivi kwanini hapa Tanzania matajiri au watu waliofanikiwa kimaisha hupenda kutuongopea kuwa wao wanafanya kazi kwa bidii?
Kuna mmoja nlimskia anasema yeye hulala masaa matatu tu, hivi huo ni utajiri au mateso?
Elon Musk tajiri namba moja duniani yupo mtandaoni muda wote, na ana hat na watu...
Watanzania rahisi ni ghali sana. Zipo aina ya investment zinaendelea ndani ya taifa letu ambazo kwa wenye akili tuna maswali mengi yakujibiwa.
Embu jiulize mtu anakuwa na shamba la matunda nakuwa alika watu wengi kwenye bihashara yake huku akiwaambia waweke pesa zao nakupata high return.
Ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.