scan

SCAN or Schedules for Clinical Assessment in Neuropsychiatry is a set of tools created by WHO aimed at diagnosing and measuring mental illness that may occur in adult life. It is not constructed explicitly for use with either ICD-10 or DSM-IV but can be used for both systems. The SCAN system was originally called PSE, or Present State Examination, but since version 10 (PSE-10), the commonly accepted name has been SCAN. The current version of SCAN is 2.1.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Nini tofauti kati ya X-Ray, CT Scan, MRI, na zaidi

    ? 1) X-rays hutumia mionzi ya umeme kutoa picha za mifupa na miundo mikavu ndani ya mwili. Kawaida hutumiwa kugundua mavunjo, maambukizo, vimbe, na matatizo mengine. X-rays ni za haraka, bei nafuu, na zinapatikana kwa urahisi. 2) CT scans hutumia X-rays pamoja na usindikaji wa kompyuta wa hali...
  2. W

    Epuka Kuscan QR Code ovyo, taarifa zako zinweza kudukuliwa

    Kupitia QR Code wadukuzi wanaweza kutumia kukupeleka katika tovuti hatarishi lakini pia wanaweza kukusanya taarifa zako zilizopo kwenye kifaa chako na kuhatarisha usalama wako Mtandaoni. Kabla ya kuscan QR Code hakikisha umethibitisha chanzo cha QR Code hiyo ni salama, unakiamini na...
  3. Tanki

    Sitosahau mwaka juzi Amana hospitali walipokataa kumuhudumia mgonjwa wangu kisa sina pesa ya kipimo cha CT scan (150,000)

    Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo. Hospitali...
  4. Determinantor

    Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

    Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa...
  5. A

    KUHUSU MASHINE YA CT SCAN MLOGANZILA

    Nawapongeza JF kwa kupaza sauti kuhusiana na ubovu wa mashine ya CT SCAN kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila. Naona sasa Huduma za CT Scan zimerejea kama kawaida na zinapatikana saa 24 Jumatatu hadi Jumapili.. Tunaomba muendelee kupaza sauti kuhusu Uchakavu wa Gari la kubebea wagonjwa
  6. A

    DOKEZO Mashine ya CT-SCAN katika Hospitali ya Mloganzila ni Mbovu

    Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana... Mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa wapange foleni katika kupata huduma hii. Ni aibu kwa Hospitali yenye hadhi ya TAIFA kama...
  7. F

    Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

    Habari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni kitu gani wataalamu?
  8. Mandown

    James Webb telescope, a cutting edge technology telescope to scan deep in space and bring images of events 13 billion years ago

    December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali na kutupa data za anga za Mbali kuona matukia ya Miaka 13 Billion iliyo pita. Ina onesha kama upuuzi...
  9. Nico1

    Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
  10. sungura23

    INAUZWA HP Multifunction Printer inauzwa

    USED HP Deskjet 4515 -Print, scan na copy -Inaprint black na rangi -Inaprint two sided -Ina wireless print access - 6.73 cm touch screen -Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote -Bei laki mbili na elfu hamsini (250,000/=) -Mawasiliano: 0658322565
Back
Top Bottom