Wakuu,
Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake?
Kama utakuwa hujaona hiyo clip, nimeiweka hapo chini.
Ni clip inayomuonesha Sativa akiwa amezingirwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.
Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali...