A school bus is any type of bus owned, leased, contracted to, or operated by a school or school district. It is regularly used to transport students to and from school or school-related activities, but not including a charter bus or transit bus. Various configurations of school buses are used worldwide; the most iconic examples are the yellow school buses of the United States which are also found in other parts of the world.
In North America, school buses are purpose-built vehicles distinguished from other types of buses by design characteristics mandated by federal and state/provincial regulations. In addition to their distinct paint color (school bus yellow), school buses are fitted with exterior warning lights (to give them traffic priority) and multiple safety devices.
Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii inavyowaathiri watoto wako kwa muda mrefu?
Kwa wengi wetu, usafiri wa magari ya shule ni suluhisho la...
Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi, imepoteza Wanafunzi Watatu na dereva wa Costa huku majeruhi wakiwa 31
Amesema “Ajali imetokea eneo la...
Ni saa 10 na nusu alfajiri ninaamka kujiandaa kwa ajili ya kwenda harakati, nafuata taratibu zangu za kila siku, napiga goti namshukuru Mungu kwa uzima naingia bafuni kujishikashika na sabuni pamoja na maji ya baridi ili kuzimua akili ikae mguu sawa. Huwa nachukua nusu saa tu kujiandaa na kwenye...
Imekuwa ni kawaida kabisa uwajibikaji Umekuwa ukifanyika vizuri zaidi pale kitu kinapotokea.
Na mara nyingine taratibu mbali mbali zinaanzishwa ili kuhakikisha tatizo halijirudii tena.
Lakini cha ajabu baada ya muda mambo husahaulika na kutowajibika kunaendelea.
Tuendelee kukumbushana wajibu...
Tanzania inaendelea kuona ongezeko la shule binafsi jambo ambalo ni zuri na sina shida nalo hata kidogo. Tuliosoma enzi za ujima waliosoma shule hizi tuliwaona mafogo kinoma. Kwanza kwa sisi tuliokuwa nje ya Dar hatukuwahi kusikia school bus, ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa eti kuna chalii...
Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red.
Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
Habari Wakuu,
Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi.
Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.