Habari, nahitaji mfanyakazi wa Stationery.
VIGEZO.
-Awe ana ujuzi wa kutumia Compute Microsoft package
Kutoa photocopy,lamination,Pasport size,kufanya sells kwa small stationary
-umri 18-26
-Jinsia- Kike/kiume
-Awe mkaazi wa maeneo ya moroco,kinondoni,biafra,mikocheni,au msasani.
Kama...