Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025.
Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
Kuna hii hali usiku usingizi ukikata naanza kufikiria stori kuhusu mimi endapo ningekuwaga na nguvu za ziada na utajiri mkubwa na uongozi vile ningefanya mambo yangu. Wakati mwingine stori nazirudisha nyakati za sekondary classmates wa sekondary ndo huwa nawa include sana sijui kwanini huwa...
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.
1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu.....
2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah
3. Mpira una matokeo matatu...
4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani.
Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
Habari wanajamii forums,
Mimi ni kijana ninayependa masuala ya utangazaji, na kutokana na nafasi iliyotangazwa na wasafi media ya mashindano ya kutafuta watu wenye kipaji cha utangazaji, nikaona ni vyema nikajaribu bahati yangu.
Hivyo lengo la kuja kwenu ni msaada wa jinsi ya kuandaa script...
Pyongyang ilishutumu Washington na Seoul kwa "harakati zao za kijeshi za kizembe" wakati wa duru ya hivi punde ya michezo ya vita. Korea Kaskazini yadai Marekani imeweka 'hati ya nyuklia' katika 'hatua ya mwisho'
Korea Kaskazini imezishutumu Marekani na Korea Kusini baada ya washirika hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.