Amani kwenu wote.
Naomba kushare na ninyi hii dawa ambayo imenitibu kabisa viral infection. Msimu huu na tunaouelekea wa baridi, ukikoswa koswa na seasonal flu ni bahati. Nlialikwa iftar mahali kukawa na katoto kana homa kali basi baada ya pale wote tulivyoondoka kila mmoja wetu ni mafua...