Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru.
Dhana hii potofu ya uongozi...