Wakuu habari za hapa jamvini?
Nitumbukie kwenye mada yenyewe.
Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...