Rejea thread hii kwanza:
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka
Pia soma majibu ya Prof. Sedoyeka hapa:
Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili
Nina uzoefu wa masuala ya...
Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo ameyakana yote
Kikao cha Baraza la Maadili liliketi chini ya Mwenyekiti wa Baraza, Jaji Mstaafu Rose...
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?
Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.