Nina refinery ndogo ambayo ina uwezo kufanya refining mafuta ya kupikia kama alizeti, soya, mawese nk na kuyaboresha zaidi katika viwango vilivyoidhinishwa na TBS.
Nipo Mbeya na mwekezaji itakuwa vizuri naye akiwepo Mbeya. Refining ina uwezo wa kuzalisha lita 2000 kwa siku au tani 1.7 au ndoo...