Segerea is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,821.
Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea Shilingi milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Mbali na Berry...
Habari wadau.
Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea.
Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
Na; Garatwa Francis
Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
Nilikosa cha kufanya na bundle ilikuwa imekatika kwa simu, nikapata idea ya kuhesabu pete za ndoa vituoni na kusema kweli inaonesha wanaume wengi sana wana pete vituoni kuliko wanawake, katika kudadisi dadisi katika halmashauri ya ubongo wangu nikaja na majibu yafuatayo;
1. Wingi wa wanaume...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa...
SALAMU KUTOKA UJAMBAZINI..
Najua ukisikia neno “ujambazini” lazima utashtuka kidogo. Nikutoe hofu neno kabisa. Neno ‘ujambazini’ ni jina la eneo kama ilivyo Posta, Masaki au Manzese.
Nikupeleke sasa Ujambazini huko. Ujambazini ni Magharibi mwa Jiji la Dar es salaam, na kusini mwa Wilaya ya...
Rejea kichwa cha habari apo juu kuna viwanja ambavyo vimekatwa vinauzwa vyenye Square mita 500 kila kimoja eneo ni zuri na viko karibu na shule ya secondary ya The new ambassador..kutoka viwanja vilipo mpaka kufika uwanja wa ndege wa JK nyerere ni dakika 5 tu..
Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
Mc Mashuhuri duniani GARA B ameonyesha nia ya kugombea jimbo la Segerea kwenye uchaguzi 2025. Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Hakika Segerea mpya yaja. Wana Segerea kazi kwenu.
Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea.
Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
Mkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu.
Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3.
Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
Miundombinu ya hiki kituo imeharibika kiasi fulani na kutengeneza mashimo makubwa ambayo kwa kipindi hiki cha mvua yanahifadhi maji na kusababisha kero kwa wanaotumia kituo hicho.
Kwanza panapitika kwa shida, usipokuwa makini unaogeshwa maji machafu na daladala au bajaji.
Pia yale mashimo...
Hivi unajua usipompa
pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi?
Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili.
Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
Ni miezi 4 sasa kata ya Bonyokwa Kisiwani Mtaa wa Oysterbay wananchi hatujawahi kuona maji. Pamoja na juhudi za kuwasiliana na Mbunge wetu Bonah inaelekea mfupa huu umemshinda.
Mpaka tunajiuliza mbona kipindi cha Utawala wa Mwendazake shida ya maji ilishaisha?
Serikali ya CCM jitafakarini...
Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli
Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
Ni bwana Oezeama kama sikosei.
Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao.
Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu.
Duru za eneo lile...
Mashindano ya Bonnah Segerea Cup yanatarajiwa kuanza tarehe 03/12/2022 hadi tarehe 18/01/2023. Timu 64 kutoka katika Mitaa ya Segerea 61, zitakutana kwenye Viwanja 8 vilivyopo Jimbo la Segerea.
Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli ameeleza kwamba Mshindi wa kwanza atapata Milioni 5, Mshindi wa Pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.