segerea

Segerea is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,821.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama Yesu angezaliwa na kumtumikia Mungu zama hizi za leo maana yake angefungwa Segerea nasio kutundikwa msalabani.

    No OFFENCE NO OFFENCE Naomba mada isichukuliwe tofauti na pia niweke bayana baadhi ya mambo. Kwanza mimi ni mbatizwa kwa Jina la Joseph ( na sijui kwa nini sisi wenye majina yetu asili uwa tunapewa majina mengine, sitaki kuamini kama Mungu ni mbaguzi kiasi icho). Nilibatizwa mpaka kupata...
  2. Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

    Nauliza hivi kwa mshangao sana. Ni kuhusu suala la maji. Yapo maeneo maji wanapata kila siku. Kuanzia Bima kwenda hadi relini kule maji ni kila wakati. Mshangao kwao ni maji yakikatika. Maeneo ya Segerea kuelekea Kisukuru na Bonyokwa huko kuna changamoto sana ya maji. Huku yakitoka inabidi...
  3. Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  4. Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

    Habari wakuu. Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo. Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini. Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
  5. Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
  6. Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

    Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
  7. Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
  8. Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  9. Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  10. M

    Sahihi kusema CCM imelegalega au CHADEMA ni imara jimbo la Segerea?

    Wanabodi, Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo. Tumeshuhudia vuguvugu la kudai katiba mpya likianzishwa pale, na sasa ufunguzi wa ofisi ya chama...
  11. Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
  12. Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  13. Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  14. Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum kwenye Magereza ili kuondoa malalamiko ya Wafungwa kukaguliwa wakiwa uchi wa mnyama jambo ambalo ni kinyume na Haki za Binadamu. “Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa unakaguliwa na hata kama ni mama upo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…