sehemu za starehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  2. Burure

    Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  3. Equation x

    Kinachowafanya wapenzi wenu kwenda sehemu za starehe

    Hii ndio sababu kuu inayowafanya wapenzi wenu watembelee maeneo ya starehe. Utapambana sana kumzuia; lakini atasingizia anaenda kucheki mpira, mara kupata moja mbili tatu, mara kusikiliza mziki, mara kujadili mambo ya kikazi au kibiashara na marafiki zake n.k Ila ukweli ni huu..
  4. utukufu mwanjisi

    Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya. Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio...
  5. LIKUD

    Tujuzane kuhusu viota vya starehe Kisarawe mjini

    Wajuvi tujulishane basi kuhusu sehemu za starehe ndani ya wilaya ya kisarawe mjini. With much thanks in advance
  6. R

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  7. Teslarati

    Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  8. Selemani Sele

    Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  9. Pang Fung Mi

    Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  10. Mwachiluwi

    JF wakosoaji sana

    JF Members mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa. Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
  11. Pang Fung Mi

    Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  12. USSR

    Musukuma aomba Mwongozo wa Spika kuhusu sehemu za starehe kufungiwa na NEMC kwa kigezo cha kelele

    Hivi huyu jamaa ana atumia nini kufikiri, hajui hizo sheria zilifungwa na bunge hilo hilo. Hajui watu walichoka na muziki mikubwa na kuwa kero kwa watu. Leo bunge lisitishe shugli zake ili waruhusu mikilele yao ,yaani watumie pesa za serikali kuruhusu Kelele mitaani. USSR =================...
Back
Top Bottom