sehemu za starehe lindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Lindi mbona pamepoa sana jamani?

    Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself? Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend? Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe. Nipo Lindi mjini
Back
Top Bottom