Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini