Niliwahi kutibiwa Seifee Hospital iliyoko mjini Dar es Salaam, inayopatikana ile njia kama unaenda Posta. Tangu nitibiwe pale wamekuwa wakinitumia matangazo ya madaktari wanaofika kwao. Hawa jamaa muda si mrefu nitawashtaki maana namba yangu ya simu ni taarifa binafsi na inapochukuliwa inapaswa...