Wanajamii naomba msaada,
Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile...