sekta ya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ministrant

    Ashakum si matusi, ila nachelea kusema kuwa taaluma ya habari imevamiwa na vilaza

    Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
  2. Roving Journalist

    Mkutano wa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji, Desemba 18, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam. Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
  3. Roving Journalist

    Waziri Silaa Afungua Milango ya Ushirikiano kwa CoRI Kujadili Masuala ya Sekta ya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi. Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
  4. Roving Journalist

    Kibanda: Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ina hali ngumu, isingekuwa ya serikali ingefungwa

    https://www.youtube.com/watch?v=xO0iP6Ko22g Baada ya Rais Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jana Jumanne Juni 18, 2024, Kongamano linaendelea Jumatano Juni 19, 2024...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Hii kali: Rais Samia awaagiza JUMIKITA 'kuchuja' maudhui ya mtandaoni tena katika Kongamano la Sekta ya Habari!

    Jumikita kwa wale msiyojua kirefu chake ni Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii, wanawakilisha wanahabari wote wa mtandaoni nchini. Rais Samia anawasifia na kuwaambia mwende mkachuje yanayosemwa mtandaoni watu waseime wanayoyataka na nyie mnakenua na kuinama kuonesha mnashukuru na...
  6. Analogia Malenga

    Rais anashiriki kongamano la habari huku waandishi wakiendelea kuminywa

    Ndani ya Wiki moja waandishi wa habari watatu wamekamatwa na Jeshi la Polisi tena ndani ya Wiki ambayo Rais Samia Suluhu anazidua kangamano la maendeleo ya Sekta ya habari, huku Polisi mkoa wa Mwanza likiendesha Oparesheni ya kukamata waandishi kutoka Mikoa ya Simiyu na Mara ===== Pia soma...
  7. Pascal Mayalla

    Mlimani City: Kongamano la Maendeleo Sekta ya Habari Tanzania, Mgeni Rasmi ni Rais Samia Suluhu. Karibuni

    Wanabodi Karibuni katika tukio hili https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DO Paskali
  8. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024

    Rais Samia Hassan Suluhu ndiye mgeni rasmi wa kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Jumanne Juni 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=vobBz6hXoWo SUNGURA: KATI YA WANAHABARI 20,000 NCHINI, NI 4,000 TU NDIO WANA MIKATABA Ernest Sungura...
  9. U

    SoC04 Nguvu za kiume, michezo ya kubashiri na sekta ya habari na mawasiliano

    TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo. Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili yaliyoshamiri katika jamii kwa Sasa na wizara ya habari na mawasiliano kwa ujumla kwa uhusiano niliouona...
  10. Roving Journalist

    Maazimio ya Serikali na wadau wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Desemba 17, 2022

    Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam AZIMIO LA JUMLA Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa vyombo vya habari na kufungua milango ya mazungumzo na wadau wa habari kuhusu ukuaji wa sekta ya...
  11. BARD AI

    Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
  12. Roving Journalist

    Waziri Nape Nnauye: Hakuna maendeleo, amani na furaha kama uhuru wa habari katika jamii hiyo haupo

    Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano hili lenye kaulimbiu ya "Habari kwa maendeleo endelevu", kongamano ambalo limewakutanisha waandishi wa habari pamoja na wadau wengine wa habari kujadili changamoto pamoja na mafanikio kwenye sekta hii, mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  13. B

    Shaka asema CCM inaridhishwa na uimarishwaji wa sekta ya habari nchini

    SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha Jambo Tanzania, Mikocheni...
  14. L

    Nchi za magharibi hazipaswi kuusemea vibaya ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya habari

    Katika miaka ya hivi karibuni suala la ushirikiano kwenye sekta ya habari kati ya China na Afrika limekuwa likifuatiliwa na nchi za magharibi, na kuongezeka kwa uwepo wa China kwenye sekta ya habari barani Afrika kunachukuliwa kama ni uingiliaji wa China kwenye himaya ya habari ya vyombo vya...
Back
Top Bottom