11 March 2025
Dira Yetu : SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA : Je ni kweli Rwanda Haina M8godi ya Uchimbaji ?
https://m.youtube.com/watch?v=T2NW4_-B6-4
Muongoza kipindi ndugu Masantura amewakaribisha studio wageni kujadili sekta ya madini nchini Rwanda. Kipindi hiki kitawafahamisha je ni dhana...
Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa.
Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI
▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini
▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum
▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini
▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa...
Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa...
Oktoba 13, 2024, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita.
Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa Rais Samia, ambaye ameendelea kuweka mbele maendeleo ya sekta muhimu...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja Wa Wanawake Tanzania (UWT) Zainab Khamis Shomari ametoa wito kwa Wanawake na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini ikiwemo kuwekeza kwenye shughuli za uchimbaji pamoja na kutoa huduma migodini.
Amedai kuwa Serikali imeweka mazingira...
Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, ikichangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa na ajira. Mchango wake uliongezeka hadi asilimia 9 mwaka 2023 kutoka 7.3% mwaka 2021, na kuunda ajira takriban 19,356, wengi wao wakiwa ni Watanzania. Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita.
Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine...
Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa
Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%.
Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini
Kutokea mwaka...
TRA KUKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI KUJADILIANA MABORESHO YA SEKTA YA MADINI
-Kuhusisha Watoa huduma,Wachimbaji wakubwa na wadogo
-Waziri Mavunde aipongeza Wizara ya Fedha kwa ushirikiano
-Wizara ya Madini yajipanga kukusanya Trilioni 1 mwaka 2024/25
Dar es salaam
Mamlaka ya Mapato...
MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE
Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini
📍Dar es Salaam.
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
Tume ya Madini, leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma
Elimu imetolewa katika maeneo ya usimamizi/udhibiti wa Sekta ya Madini na ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na...
TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI
- Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini
- Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa.
- Mpango wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wajadiliwa
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo...
Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma.
Elimu inatolewa katika...
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo na utajiri wa madini, tanzanite, dhahabu, rubi, fedha (silver), chuma, almasi, na nikeli. Hoja hii inagonga vichwa tuishie kuorodhesha utajiri tulionao au utumike kwa maslahi mapana, ili keki ya taifa iwafikie watanzania wote.
Madini ya Tanzania...
-Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.