TFF imeendelea kuvifungia viwanja ambavyo havina sifa mfano: Al Hassn Mwinyi, Kirumba na Jamhuri Dodoma.
Nashauri tena, viwanja vya CCM virudishwe serikalini, vikarabatiwe na visimamiwe na halmashauri vilipo viwanja ili kukuza soka na kuwasahaulisha Watanzania.
Kuna kipindi serikali ilisema...