Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amewasisitiza watendaji na watumishi wa taasisi chini ya wizara hiyo kuwahudumia wadau wa sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa wakati ili kuleta tija katika utendaji kazi.
Katibu Mkuu Bw. Yakubu amesema hayo Juni 20, 2023 jijini Dar...