HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.
Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.
Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa...