Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
ULEGA AANIKA FAIDA MKUTANO WA OACPS
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kufanyika kwa mkutano wa OACPS nchini Tanzania kutasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua sekta ya uvuvi na kuchechemua uchumi wa Taifa kwa ujumla.
Waziri Ulega amebainisha hayo wakati akifungua Mkutano...
Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO.
Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya drones,vifaa vya kiotomatiki sensors na IoT, teknolojia ya satellite ,uvuvi wa mbali...
Tanznaia Tuitakayo katika sekta ya UVUVI
UTANGULIZI
Tanzania tuitakayo kwa miaka miatano ijayo ni Kuona wavuvi wananufaika na Rasilimali za Uvuvi na zinabadilisha maisha yao kwa Ujumla.
Ifike hatua sasa wavuvi wakue wanufaike na Rasilimali hizo kwa kufungua masoko ya kimataifa, kuwa na njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.