selcom

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nauza selcom mashine

    Nauza mashine ya selcom bado mpya imeshaunganishwa na benki kadhaa kwa 200k Mawasiliano 0684228724 kwa mteja aliye serious
  2. O

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  3. Kampuni ya Selcom itakuja kuwa benki kubwa mbeleni

    Miaka ya nyuma ziliibuka vi microfinance vingi ila miaka 2000 kwenda mbele zilipata faida ya mikopo wanayotumia kukopesha watu mpaka nyengine zikijiweka kama benki. Kutokana na mdororo wa uchumi duniani na wengi kufungua makampuni ya mkopo ,vijibenki vingi vimeanza kumuuzia selcom. Kumbuka...
  4. Access Bank Tanzania yauzwa, sasa kujulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'

    Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'. Uwekezaji wa Selcom unaifanya benki hiyo kufikisha mtaji wa zaidi ya Sh 8.6 bilioni. Kampuni ya...
  5. Mashine ya Selcom iliyoungwa na NBC

    Nahitaji kununua mashine ya Selcom nipo dar es salaam iwe imeungwanisha na nbc, muuzaji serious anitext inbox
  6. Y

    Wenye uzoefu namna kupunguza salio(float) kwenye machine za Selcom na bank ili kupata cash wanisaidie

    Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa, Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
  7. Naomba kufahamishwa mahali zilipo ofisi za Selcom kwa Dar es Salaam

    Salaam. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni. Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
  8. Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  9. M

    TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  10. Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  11. T

    Wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, What happened.?

    Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2 Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W Kwa...
  12. Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ametoa ripoti ya matukio kadhaa ikiwemo lililohusisha wizi wa zaidi ya Shilingi Bilioni mbili mkoani humo. Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…