self care

  1. Braza Kede

    Kwanini wengi wanaamini mtu mweusi ni mbabaishaji na asiye na uwezo? Tatizo nini wakuu?

    Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende weengi...
  2. J

    Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
Back
Top Bottom