Hodi wanajamii! ๐
Naitwa Oscar Ndayi ๐ง๐ฎ, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia ๐ฎ๐ฉ kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu cha Yogyakarta State University. ๐
Nina furaha isiyo kifani kuona fursa ya kuwa na wa East...