semina

Gugudan SeMiNa (Korean: 구구단 세미나) is the second official subgroup of South Korean girl group Gugudan, formed by Jellyfish Entertainment in 2018. It is composed of three Gugudan members: Nayoung, Sejeong and Mina.

View More On Wikipedia.org
  1. Vichekesho

    Wamenimalizia pesa zote za semina

    Dodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
  2. Kaluluma

    Wenyeji wa Tabora Mjini, ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina?

    Habari za muda huu wakuu, Kwa wenyeji au waliowahi kufika Tabora mjini, Ni ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina itakayokuwa na idadi ya watu wasiopungua 150 mpaka 300 hapo, Nimepewa jukumu la kutafuta ukumbi kwa ajili ya shughuli fulani. Natanguliza shukrani wakuu🙏
  3. chiembe

    Sio lazima kila kitu kifanyike Arusha, semina na vikao serikalini, pia vifanyikie Lindi, Mtwara, Ruvuma, zimesahaulika

    Nashauri uongozi mkuu utoe maelekezo maalum kwa taasisi na mashirika. Kama taasisi au shirika lina semina/ mafunzo/ vikao 10 kwa mwaka, kwa kuanzia, walau kikao/ semina moja ifanyikie katika mikoa hiyo. Hii itasaidia kuiunganisha nchi kiuzalendo na mzunguko wa uchumi. Mambo ya kupeleka kila...
  4. Mhafidhina07

    Serikali tafuteni namna ya kutoa semina kwa wananchi juu ya kutambua wajibu wao.

    Nimeshaona kipindi cha upigaji kura kuna matangazo mengi kwenye vyombo vya kupashana habari,mitandao ya kijamii na kupitia mikutano ya kijiji inatoa semina kwa wananchi katika umuhimu wa upigaji kura,nimeona kelele za wanasiasa wakiwaambia wahitimu kuwa wajiajiri,nimeona makongamano mengi ya...
  5. B

    Benki Ya CRDB yaendesha Semina Kuwajengea Uwezo Waandishi Wa Habari Kuandaa Taarifa zitakazochochea Ujumuishi Wa Kifedha nchini

    Dar es Salaam 19 February 2024 – Katika jitihada za kuendeleza sekta ya habari nchini, Benki ya CRDB imeendesha semina maalum kwa wadau wa sekta ya habari nchini na uchumi “CRDB Bank Media Day” iliyofanyika katika Makao Makuu ya benki hiyo yaliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Akifungua...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janejelly Ntate Aendesha Semina ya Utekelezaji wa Maono ya Mama Samia kwa Akina Mama wa Mkoa wa Dar

    MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
  7. JORDAN GADI TWARINDWA

    Mambo ya kuyaepuka sana wakati wa maombezi kwenye makongamano na semina

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 =================================================================================== Ujumbe Maalumu Kwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Maaskofu, na Waumini Vituo Vya Maombi na Maombezi Duniani; _______________________________________________________________________________ Ipo...
  8. Erythrocyte

    Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji. Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la...
  9. Stephano Mgendanyi

    TCCA Yatoa Semina kwa Kamati ya Miundombinu

    TCAA YATOA SEMINA KWA KAMATI YA MIUNNDOMBINU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Mhe. Atupele Mwakibete, Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire na Wataalam wa Mamlaka ya Viwanja...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe aendesha Semina ya Kilimo Chenye Tija Kata ya Myunga JImbo la Momba

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Myunga na Mtaalamu wa Kilimo kutoka Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko na Benki ya NMB Mbunge...
  11. JanguKamaJangu

    Ummy Mwalimu: Wataalamu wa afya punguzeni semina, wananchi wapate huduma vituoni

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu...
  12. Replica

    Mpina ajibu mapigo, asema Mwigulu hana sifa ya kuwa Waziri. Adai anakopa hadi pesa za semina ilhali kuna matrilioni hayajakusanywa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo. Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
  13. Yesu Anakuja

    NHC toa semina kwa wapangaji wako

    kuna watu wameishi NHC miaka zaidi ya 50, wanalipa kodi ndogo na hela wanazopata wanakula, hawajengi. ukitaka kuwaondoa wanasema twende wapi? mnatuonea rais tusaidie, mara mimi nimeishi miaka yote hapa mnataka niende wapi? tunahitaji NHC itoe semina kwa wapangaji wote kama ifuatavyo: 1...
  14. Ojuolegbha

    Wabunge wapatiwa semina kuhusu Hakimiliki

    Ofisi ya Hakimiliki nchini (COSOTA), imetoa Semina kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu majukumu na fursa zilizopo katika ofisi hiyo ikiwemo kulinda hakimiliki za Wabunifu. Semina hiyo imefanyika Mei 30, 2023 katika ukumbi wa Msekwa bungeni jijini Dodoma ambapo Waziri...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Ashiriki Semina ya EALA Women Caucus Bujumbura

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Member of Parliament - EALA ) Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Sedoyeka, PhD anashiriki semina ya EALA Women Caucus juu ya Kuendeleza Utawala unaozingatia Jinsia 31.3.2023 nchini Burundi, Bujumbura. Semina ni kwa ajili ya kujenga uwezo kwa wabunge wanawake ili kutetea...
  16. Carlos The Jackal

    Semina ya viongozi wa Rais Samia ilikuwa ni ufujaji wa fedha za wanyonge!

    Labda kama walikua wanajipongeza kwa namna wanavyokula kulingana na Kamba zao. Hayati Magufuli (JPM) hakuitisha cha Semina wala nini, lakini watu walichapa kazi, Pesa zilitokewa na kufika, Kwa JPM ulikua ukila Pesa yake utaitolea kwenye Tundu lolote la mwili wako. Kwa JPM watumishi wabovu...
  17. Abraham Lincolnn

    Nini umuhimu wa semina ya viongozi inayofanyika Arusha?

    Wakati wananchi wakiendelea kuteseka na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali pamoja na gharama za maisha kiujumla, inasikitisha kuona jicho la serikali linazidi kuelekea katika matumizi ya hovyo ya fedha za umma. Mpaka kiongozi anateuliwa, maana yake anafahamu majukumu ya kiuongozi na mambo...
  18. Lady Whistledown

    Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  19. B

    Benki ya CRDB yaendesha semina kwa wateja wake wa mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
  20. The unpaid Seller

    Ni ushamba sana kutoka semina umebebelea kopo la maji uliyopewa kwenye semina, warsha nk

    Peace be upon you all, Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote. Yani unakuta watu wamekwenda semina fulani alafu muda wa kutoka wamebebelea vimaji vya mia tano hako kakopo atakabeba njia...
Back
Top Bottom